Tunabuni websites zinazofunguka vizuri kwenye simu, tablet na kompyuta. Zinapendeza na ni rahisi kutumia kwa wateja wako wote.
Tunatengeneza business systems kama vile point of sale (POS), stock control, invoice na report systems ili kurahisisha biashara yako.
Tunakarabati kompyuta na simu kwa ufanisi — kuanzia software hadi hardware. Tunatatua matatizo ya speed, virus, format, display na mengine mengi.
Timu yenye ujuzi tofauti tofauti – tumeunganishwa na lengo moja: kutoa huduma bora za kiteknolojia kwa wateja wetu.
Kiongozi wa kampuni na mtaalamu wa kutengeneza mifumo ya biashara, tovuti, pamoja na huduma za kiufundi.
Msaidizi katika utengenezaji wa mifumo ya kidigitali (software) na websites kwa ajili ya biashara na huduma mbalimbali.
Mtaalamu wa kubuni picha, mabango, business cards, posters na kila aina ya kazi ya ubunifu wa kisasa wa kibiashara.
Msaidizi katika kazi za kubuni picha, mabango, business cards, na kazi nyingine za ubunifu wa kibiashara.